KAULI NATOA LYRICS TAARAB BY BARAKA MKANDE
Kauli natoa lyrics
kauli natoa lolote na liwe
ata wakijua nitaishi naee
kauli natoa lolote na liwe
ata wakijua nitaishi naee
naukitakiwa na ukitakiwaa
naukitakiwaa rahisi usiwee
naukitakiwa na ukitakiwaa
naukitakiwaa rahisi usiwee
Mola nistiri mi Naomba dua...
Mapenzi ya siri yamejifichuwa.
Mola nistiri mi Naomba dua...
Mapenzi ya siri yamejifichuwa.
Sina uhodari sina uhodari
sina uhodari wala sina dawa
Sina uhodari sina uhodari
sina uhodari wala sina dawa
kauli natoa lolote na liwe
ata wakijua nitaishi naee
kauli natoa lolote na liwe
naukitakiwa na ukitakiwaa
naukitakiwaa rahisi usiwee
naukitakiwa na ukitakiwaa
naukitakiwaa rahisi usiwee
Nisipo kuona Nalia ukiwa...
Huwa raha sina mgonjwa nakuwa.
Nisipo kuona Nalia ukiwa...
Huwa raha sina mgonjwa nakuwa.
Tunapokutana tunapokutana
tunapokutana ghafla hupowa
Tunapokutana tunapokutana
tunapokutana ghafla hupowa
kauli natoa lolote na liwe
ata wakijua nitaishi naee
kauli natoa lolote na liwe
ata wakijua nitaishi naee
naukitakiwa na ukitakiwaa
naukitakiwaa rahisi usiwee
naukitakiwa na ukitakiwaa
naukitakiwaa rahisi usiwee
Mapenzi balaa yamejifichuwa...
Yameshanivaa shida kuyavua.
Mapenzi balaa yamejifichuwa...
Yameshanivaa shida kuyavua.
Kila nikikaa kila nikikaa
kila nikikaa yananizindua
Kila nikikaa kila nikikaa
kila nikikaa yananizindua
kauli natoa lolote na liwe
ata wakijua nitaishi naee
kauli natoa lolote na liwe
ata wakijua nitaishi naee
naukitakiwa na ukitakiwaa
naukitakiwaa rahisi usiwee
naukitakiwa na ukitakiwaa
naukitakiwaa rahisi usiwee
Mpenzi usiwe ukinizuzua...
Nakuomba tuwe sahani na kawa.
Mpenzi usiwe ukinizuzua...
Nakuomba tuwe sahani na kawa.
Nitaishi nawe nitaishi nawe
nitaishi nawe Hata wakijua♩ ♪ ♫ ♬
Nitaishi nawe nitaishi nawe
nitaishi nawe Hata wakijua♩ ♪ ♫ ♬
kauli natoa lolote na liwe
ata wakijua nitaishi naee
kauli natoa lolote na liwe
ata wakijua nitaishi naee
naukitakiwa na ukitakiwaa
naukitakiwaa rahisi usiwee
naukitakiwa na ukitakiwaa
naukitakiwaa rahisi usiwee
No comments