AMIN NI WEWE LYRICS
AMINI - NI WEWE
Story yangu nilishakwambia
nilishawahi kuumizwa aah
Nikayumba na dunia
Kwa penzi la dhuluma aah
Nashukuru wanipenda sana
Karibu kwenye yangu dunia yule
Aliniacha kwenye jangwa yule
sina hata maji yule
Nikajiita mkosaji yule
si mara ya kwanza hii
Penzi letu lilipea
imebaki story
Kila neno nililomwambia
alikubaki kichwani
Sasa
Ni wewe unaenifanya naimba
Ni wewe sijakosea kupenda
Ni wewe unaenifanya nahema
Aaah
Ni wewe unaenifanya naimba
Ni wewe sijakosea kupenda
Ni wewe unaenifanya nahema
Aah
Nilipokufata nilikwambia
hata mateso hutayasikia
Bila kuwaza ukanipokea uh uh uh
Si mpofu kupapasa
baya na jema walijua
Pasipo na njia uonyesha nia
Kwa maneno yoyo
Una maneno na mipango
na viapo ndivyo
Nafurahi moyoni leo
Sikumbuki zamani leo
Umeibeba ramani leo
ya mapenzi duniani
Si mpofu kupapasa
baya na jema wakijua
Ni wewe unaenifanya naimba
Ni wewe sijakosea kupenda
Ni wewe unaenifanya nahema
Aaah
Ni wewe unaenifanya naimba
Ni wewe sijakosea kupenda
Ni wewe unaenifanya nahema
Aah
Ulinikuta kwenye jangwa ukanipa maji
Mahututi sio wa kupumua ukanipa uhai
Nikapata nguvu mpya Nkapoza makali
Maumivu uliyoyakuta yamekua asali
"Aya yaya "
Nafurahi moyoni leo
Sikumbuki zamani leo
Umeibeba ramani leo
ya mapenzi duniani
Si mpofu kupapasa
baya na jema wakijua
Ni wewe unaenifanya naimba
Ni wewe sijakosea kupenda
Ni wewe unaenifanya nahema
Aaah
Ni wewe unaenifanya naimba
Ni wewe sijakosea kupenda
Ni wewe unaenifanya nahema
Aaaaaaaaaaaaaaah
Ni wewe
ni weweee
ni weweeee eh eh
BARAKA B MKANDE
No comments