AT BI HARUSI LYRICS
AT BI HARUSI
BALAA YA UGOMVI LEO
SOMO YAKE BI HARUSI
MWENYAKANGA MKO WAPI LEO
NJOONI MUAMUE KESI
BALAA YA UGOMVI LEO
SOMO YAKE BI HARUSI
MTAZAMENI MKWE WENUU
KWA BASHASHA NA UCHESHI
BALAA YA UGOMVI LEO
SOMO YAKE BI HARUSI
UMETANIWA KIDOGOO
UNATOA MATAPISHI
BALAA YA UGOMVI LEO
SOMO YAKE BI HARUSI
WE JIFANYE MJUAJI
KAPIKE WALI MBICHI
BALAA YA UGOMVI LEO
SOMO YAKE BI HARUSI
NAMPENDA SHUWA DINA
SHUWA DINA SHUWA DINAA
NAMTAKA SHUWA DINA
SHUWA DINA SHUWA DINA
PESA SINA
NAMPENDA SHUWA DINA
SHUWA DINA SHUWA DINAA
NAMTAKA SHUWA DINA
SHUWA DINA SHUWA DINA
PESA SINA
KINA MAMA MABIBI
NA MABABU NAWASHIKA MASIKIO
HAWA WALI WASASA WANATABU
WAOZESHWE MBIO MBIO
KINA MAMA MABIBI
NA MABABU NAWASHIKA MASIKIO
HAWA WALI WASASA WANATABU
WAOZESHWE MBIO MBIO
MWAJAHA ANATABIA MBAYA
ANAMSEMA MKWEWE
ETI KWAMBA ANACHAWA
MWAJAHA ANATABIA MBAYA
ANAMSEMA MKWEWE
ETI KWAMBA ANACHAWA
SOMO ONA VISA
VYA KUSIKITISHA
MWALI HANA PESA
ANAJITONGOZESHA
SOMO ONA VISA
VYA KUSIKITISHA
MWALI HANA PESA
ANAJITONGOZESHA
BALAA YA UGOMVI LEO
SOMO YAKE BI HARUSI
MWENYAKANGA MKO WAPI LEO
NJOONI MUAMUE KESI
BALAA YA UGOMVI LEO
SOMO YAKE BI HARUSI
MTAZAMENI MKWE WENUU
KWA BASHASHA NA UCHESHI
BALAA YA UGOMVI LEO
SOMO YAKE BI HARUSI
UMETANIWA KIDOGOO
UNATOA MATAPISHI
BALAA YA UGOMVI LEO
SOMO YAKE BI HARUSI
WE JIFANYE MJUAJI
KAPIKE WALI MBICHI
BALAA YA UGOMVI LEO
SOMO YAKE BI HARUSI
NAMPENDA SHUWA DINA
SHUWA DINA SHUWA DINAA
NAMTAKA SHUWA DINA
SHUWA DINA SHUWA DINA
PESA SINA
NAMPENDA SHUWA DINA
SHUWA DINA SHUWA DINAA
NAMTAKA SHUWA DINA
SHUWA DINA SHUWA DINA
PESA SINA
SOMO YAKE MUELEKEE NA MAPEMA
AKI AACHIKA WASIJE
PATA LA KUSEMA
SOMO YAKE MUELEKEE NA MAPEMA
AKI AACHIKA WASIJE
PATA LA KUSEMA
RAFIKI WA SIKU IZI
USIWAONE WAJUZI
WANARANDA NA IRIDHI
KUYAHARIBU MAPENZI
RAFIKI WA SIKU IZI
USIWAONE WAJUZI
WANARANDA NA IRIDHI
KUYAHARIBU MAPENZI
MIMI NA WEWE TUSIPEANE LAWAMA
TUMEALIKWA YA NINI
TUKIIMBIE NA NYAMA
MIMI NA WEWE TUSIPEANE LAWAMA
TUMEALIKWA YA NINI
TUKIIMBIE NA NYAMA
BALAA YA UGOMVI LEO
SOMO YAKE BI HARUSI
MWENYAKANGA MKO WAPI LEO
NJOONI MUAMUE KESI
BALAA YA UGOMVI LEO
SOMO YAKE BI HARUSI
MTAZAMENI MKWE WENUU
KWA BASHASHA NA UCHESHI
BALAA YA UGOMVI LEO
SOMO YAKE BI HARUSI
UMETANIWA KIDOGOO
UNATOA MATAPISHI
BALAA YA UGOMVI LEO
SOMO YAKE BI HARUSI
WE JIFANYE MJUAJI
KAPIKE WALI MBICHI
BALAA YA UGOMVI LEO
SOMO YAKE BI HARUSI
NAMPENDA SHUWA DINA
SHUWA DINA SHUWA DINAA
NAMTAKA SHUWA DINA
SHUWA DINA SHUWA DINA
PESA SINA
NAMPENDA SHUWA DINA
SHUWA DINA SHUWA DINAA
NAMTAKA SHUWA DINA
SHUWA DINA SHUWA DINA
PESA SINA
SUBSCRIBE AND LIKE
WE MAMA LAWAMA
KANIPA SHUBIRI
KANIAMBIA NYAMA
WE MAMA LAWAMA
KANIPA SHUBIRI
KANIAMBIA NYAMA
WE MAMA LAWAMA
KANIPA SHUBIRI
KANIAMBIA NYAMA
DADA YAKE BI HARUSI
YUKO WAPI AJE HAPA
NIMEKUJA NA MZIGO
LEO NATAKA KUMPA
MAMA YAKE BI HARUSI
NA MUMEWE ANACHEKA
MWAMBIE BABU HARUSI
ASIJE TOA TALAKA
WE MAMA LAWAMA
KANIPA SHUBIRI
KANIAMBIA NYAMA
WE MAMA LAWAMA
KANIPA SHUBIRI
KANIAMBIA NYAMA
WE NI CHAI EEH
NAKUHARIBU KWA KUWEKEA
TUWI TU MIMI
SAMBUSAA NIPE SAMBUSAA
SAMBUSAA NIPE SAMBUSAA
SAMBUSAA NIPE SAMBUSAA
LIKE
#MDUARAA
No comments