Breaking News

Msomali Atema Moto kwa Picha Mpya Rasmi za Mwaka 2025

 Msanii maarufu wa Singeli, Msomali, ameachia picha zake mpya rasmi kwa matumizi ya mwaka 2025, ikiwa ni maandalizi ya mfululizo wa shows na matamasha makubwa. Picha hizi zinaakisi mabadiliko ya kisanaa, ukomavu na mwelekeo mpya wa msanii huyu anayezidi kupaa kwenye anga la muziki wa Singeli. Mashabiki watarajie mengi mapya, yakiwemo kolabo, video kali na maonesho ya nguvu.

Msomali vitamin picha ya mwaka 2025

Msomali  msanii -picha ya mwaka 2025  - image 2

Msomali vitamin picha ya mwaka 2025  -image 3 msomali


No comments