Breaking News

Rukia Ramadhani - Nimezama Kwenye Huba Zako (Lyrics Video) | Soulful Taa...


Nimezama kwenye  huba zako wala sitaki kuvuliwa.
Nimekwama kwenye huba zako  wala sitaki kung'olewa.

Mpenzi fanya imani nikae mwako moyoni. Unifiche mwako ndani.
Nisitoke wasinione, ashki majununi napenda.

Nampenda mmoja naye anajua
Sitowapa jina yeye anajua

Nimeona wewe kwako raha sijaona kwa mwengine.
mpenzi fanya imani uniweke moyoni.
Nisitoke wasinione ashki majununi napenda.
Nimepata mimi kwako mambo yanifurahisha sana
Nimepata mimi mambo najua kwengine hakuna

Mpenzi fanya imani uniweke mie moyoni nikaake moyoni unifiche mie ndani
Najiona mimi sasa bora wengine mie nawaringia

Najiona mimi sasa bora wengine mie nawatambia
Mpenzi fanya imani uniweke moyoni nikae mwako moyoni unifiche mie ndani
Nisitoke wasinione ashki majununi napenda 

Napenda mmoja naye anajua
Sitowapa jina naye anajua

🎶 Immerse yourself in the soulful world of Taarab with 'Nimezama Kwenye Huba Zako' by the talented artist Rukia Ramadhani. This lyrics video invites you to experience the heartfelt poetry and enchanting melodies of Taarab music. Let the emotions flow as you listen to Rukia's captivating voice and get lost in the music. Join us in celebrating the beauty of Taarab. Don't forget to like, share, and subscribe for more soul-stirring lyrics videos! 🎵

No comments