Breaking News

Sabah Salum - Nikome wewe Mzushi(Video Lyrics)

nikome wewe mzushi

Kila nipatalo napatanalo
Likiwa ni ovu au liwe jema
Lako unalo utakufa nalo
Roho yako mbovu fisadi si wema

Mimi namuomba mungu ndio nafanikiwaa
Na roho yangu nzuriii
Wewe wa kufuru mungu ndio wa haribikiwaa
Kwa roho yako mbaayaaaa
Maadamu nimeswafii niaa
Ubaya wako utakurudiaaa
Maadamu nimeswafii niaa
Ubaya wako utakurudiaaa

Ooooohhh aaaahh oooohhh

Aaaaaaahhh mmmmmmhhh

Nikome wewe mzushi paparadhi manafikiii
Hunilishi hunivishi hunipi wewe ridhikiii
Nikome wewe mzushi paparadhi manafikiii
Hunilishi hunivishi hunipi wewe ridhikiii
Thamani yangu hushushii 
Napendeza sina dhikiii
Kwa raha zangu naishiii
Niko safi sina chukii
Thamani yangu hushushii 
Napendeza sina dhikiii
Kwa raha zangu naishiii
Niko safi sina chukii
Hupendi kuniona naishi jambo hilo nihakikii
Ooooohhh
Ni bure Safishi nipe sumu si dhurikii
Ooooohhh
Hupendi kuniona naishi jambo hilo nihakikii
Ooooohhh
Ni bure safishi nipe sumu si dhurikii

Ridhiki anipa mungu hunipi wewe kiumbee
Utakufa kwa uchunguu huwezi unizibieee
Wacheka wajichekesha rohoni mwako unaumiaaa
Oooooohhh unaumiiaaaa
Hakuna asie kujua wewe una roho mbaya
Hakuna asie kuelewa fisadi choyo kimekujaaa
Hakuna asie kutambua unataka upate wewe
Wenzio wakosee oooohhh wakosee

Ndo ya zidi kung'araa nuru ya nyota yanguuu
Ndio inayokukera na yakuzidisha machunguuu
Bado ya zidi kung'araa nuru ya nyota yanguuu
Ndio inayokukera na yakuzidisha machunguuu

Umeziunda idara 
Uvuruge maisha yangu
Niko shari wastaraa
Kupendwa bahati yangu
Umeziunda idara 
Uvuruge maisha yangu
Niko shari wastaraa
Kupendwa bahati yangu

Rabii kwa zake kudura napata ridhiki yangu
Ooooohhh 
Kwa kila lenye madhara anilinda Mola wangu
Aaaaaaahhh
Rabii kwa zake kudura napata ridhiki yangu
Ooooohhh 
Kwa kila lenye madhara anilinda Mola wangu

Ridhiki anipa mungu hunipi wewe kiumbee
Utakufa kwa uchunguu huwezi unizibieee
Wacheka wajichekesha rohoni mwako unaumiaaa
Oooooohhh unaumiiaaaa
Hakuna asie kujua wewe una roho mbaya
Hakuna asie kuelewa fisadi choyo kimekujaaa
Hakuna asie kutambua unataka upate wewe
Wenzio wakosee oooohhh wakosee

Utaniona hivihivi mwana wa mwenziooo
Nameremeta maisha yangu mazuriiii
Nafasi ya upendeleo najifariji moyo wangu
Acha nibandikwe cheo ni nzuri bahati yangu
Kokote pale ni endapo napendwa kwa kadhi yangu
Ni bure ni bure ni bure ni hasada zakooo
Ni bure  ni bure ni bure ubaya wako
ukiona mavazi yananipenda unachanganyikiwa
Ni bure ni bure ni bure na choyo chakoo
Ukiona napendwa mwenzangu wivu unakupandaa
Ni bure ni bure ni bure na ubaya wako
Ukiniona navijisenti mwezangu roho inakuumaa
Ni bure ni bure ni bure na choyo chakoo
Ni bure ni bure ni bure ni hasada zakooo
Ni bure ni bure ni bure ni hasada zakooo
Ni bure ni bure ni bure na uchoyo wakoo
Ni bure ni bure ni bure na uchoyo wakoo

Nimekuzoea nishakuzoeaa mimi 
Kunitimba majiti ya rohoni nishakuzoea mimi

Nimekuzoea  ooohhh nishakuzoeaa mimi 
Kunitimba majiti ya rohoni nishakuzoea mimi
Mwenzanugu hunackificho wajionesha bayanaaaaaaahh
Roho mbaya na kijicho vimekutawalaa sanaaaaahh
Ndio maana wavimba macho kila unaponionaaaa
Nimekuzoea nishakuzoeaa mimi 
Kunitimba majiti ya rohoni nishakuzoea mimi
Moto wako wa kifuu hunipandishii preshaaaaaahhhhhh
Kiti chako kipo juu chaelea kwenye hewaaaaaaah
Japo mnuka kupuu iko chini kuna paawa
Nimekuzoea nishakuzoeaa mimi 
Kunitimba majiti ya rohoni nishakuzoea mimi
Nazi haishindi jiwe hilo nadhani wajuaaaaaaaahhhhh
Majani chakarawe wala jua si mvuaaaaaahhh
Kanipa mola mwenyewe 

No comments