UNAJIKUTA WEWE NANI - SABAH SALUM (TAARAB)LYRICS
oohhhhhh mhhhhhhhh mhhhhhhhh
Nimezipata salam sasa nakupa majibu
Siogopi mwanadamu namtegemea wa haki
Nimezipata salam sasa nakupa majibu
Siogopi mwanadamu namtegemea wa haki
Nakula nakula nalala kwanguuu uniii
Unitishiee kwa lipiii hujuiii
Huijuii hatima yangu kivyovyote
Kivyovyote sikuogopii
Nashukuru napumua napata oxygen
Mola ananijaaliaa
Hauwezi kuvitibua alivyopanga mananii
Embu wacha kujisumbuaaa
Ooooooooohhhh mhhh oooohhh
Kiganjani huenei jeuri yatoka wapii
Punguza ugai gai nikuogope kwa lipiii
Kiganjani huenei jeuri yatoka wapii
Ooh Punguza ugai gai nikuogope kwa lipiii
Nisile nisinywe maji kwa maneno yako tuu
Kuogopwa nikipaji na sio kwa kila mtuuuuuu
Ooh oooohhh nisile nisinywe maji kwa maneno yako tuu
Kuogopwa nikipaji na sio kwa kila mtuuuuuu
Hilo usilitarajiii Namuogopa Mungu tuuu
Yeye ndio muumbajii nampaji wa kila kituu
Hiilo usilitarajiii Namuogopa Mungu tuuu
Yeye ndio muumbajii nampaji wa kila kituu
Ooooooooohhhh
Ooooooooohhhh
Ooooooooohhhh
Unanipangu pakavu ulivyo haujijuii
Usinipime ubavu milele haunisumbuii
Ahhh unanipangu pakavu ulivyo haujijuii
Oooh usinipime ubavu milele haunisumbuii
Oooh ilo unaloivuniaaa pumzi ya kwake Mungu uuuh
Hata nami napumua niondolee kiwingu
Ilo unaloivuniaaa pumzi ya kwake Mungu uuuh
Hata nami napumua niondolee kiwingu
Wewe nani umekuwa wa kuogopwa ni Mungu uuh
Yeye ndio anae toa ridhiki yako na yangu
Ooh wewe nani umekuwa wa kuogopwa ni Mungu uuh
Yeye ndio anae toa ridhiki yako na yangu
Mizigo uliojitwisha mengine si kazi yakoo
Sikazi yako si kazi yakooo
Hauna wa kumtisha nilipo na Mungu yupo
Wapo wasio kuogopa sio mimi hasilani
Madaraka unajipa kwani umekuwa nani
Huu ni uhondo wa wakali wao
2022 chukua hiyoo chini yake Thabit Abdul
Wapi salma said mama arishad kikos kazi wakali wao
Wameshindwa walio anza utaenza kitu ganii
Kitambo nimekukuza haujai kiganjanii
Aaaah nuna na ujivimbishe sikosi ridhiki yangu
Nani ata unitishe wewe kiumbe mwenzangu
Hao hao watingishe sijali nafanya yangu
Wameshindwa walio anza utaenza kitu ganii
Kitambo nimekukuza haujai kiganjanii
Ohh huwai kulizuia aliloandika mananiii
Tena inauma ninajua lakini ufanye nini
Soote tunategemea mwenzangu una nini
Wameshindwa walio anza utaenza kitu ganii
Kitambo nimekukuza haujai kiganjanii
Mkombozi records
No comments