DATTY TZ AT Zanzibar Tanzania
Datty Tz at Zanzibar |
*Wazee wanasema “ndama anazaliwa na masikio ila pembe zinaota baadae.” Angalia usivunje maisha yako na ya wengine kwa pembe zako zilizoota baadae. Elimu yako, cheo, na utajiri vimekuja baadae baada ya kuzaliwa angalia visikufanye ushindwe kuishi vizuri na wanadamu. Jitahidi kupunguza ukuwaji wa pembe zako (majivuno), kwa njia ya unyoofu na unyenyekevu. Utapita mlango wowote wa maisha, pembe hazitakuzuia.* ©️Datty Tz
No comments