Breaking News

Sharon - Sikatai (Official Audio)


lyrics 

Hey Darling Umenifunga,Zangu zangu mboni
Hey Darling Umenifunga,Zangu zangu mboni
Mie chali ukiniyima tiba siponi
Ah we ni bima kwangu baya huna ayayayaaaa
Nivimbishe kiboss kitumbo 
wacha wapigane vikumbo
Vile ndege umenisana ulimbo
kwako kutoka sitamanii

Umenikamata kamata kamata 
vibaya wewe
Umenikamata kamata kamata 
vibaya wewe
ahaaa kwako sikatai
aaaha kwake sikatai
ahaaa kwako sikatai
aaaha kwake sikatai

Unavyotaka napinga mgongo upande
Sina ujanja natii sheria afande
Pale ulipo mi nipo tuu
 ohh baby boo ohh baby boo
 Faraja yangu ni wewe tu 
 ohh baby boo ohh baby boo
 Nivimbishe kiboss kitumbo 
wacha wapigane vikumbo
Vile ndege umenisana ulimbo
kwako kutoka sitamanii

Umenikamata kamata kamata 
vibaya wewe
Umenikamata kamata kamata 
vibaya wewe
ahaaa kwako sikatai
aaaha kwake sikatai
ahaaa kwako sikatai
aaaha kwake sikatai

ahaaa kwako sikatai
aaaha kwake sikatai

No comments