Chaduly Striker & Bey Mc ft Wizzy Mp - Katoto Singeli (Official Music Au...
lYRICS /MASHAIRI
Yamekushinda mwenyewe
Sasa meseji za ninii
Yamekushinda mwenyewe
Sasa meseji za ninii
M crazy midundo
NIkiwa ni mimi hapa
Chaduly Striker dady rashaa
Ahh Bey mc wizyyy mp
Oooh jamani
naona raha ya mapenzii
nimempata katoto
Naona raha ya mapenzii
nimepata katotoo
Na ndio maana siku hizi
Sikeshi bar sababu ya katoto
Sikeshi bar sababu ya katoto
Ohh jamani Naenjoy penzi lake
Nimepata katoto
Naenjoy penzi lake
Nimepata katoto
Na ndio maana siku hizi
Sikeshi bar sababu ya katoto
Sikeshi bar sababu ya katoto
OOHHH
Nipe zoote kuni laazizi my
umeme ukikataa tutawasha kibatari
Nipe zoote kuni laazizi my
umeme ukikataa tutawasha kibatari
Nikisema nikupe nini honey
Uzuri wako mwengine sitamani
Upendo wako nifananishe na nanii
Minadhani nakuependa my
Ama twende kidimbwi,masaki tukaenjoy
Penzi letu chi mamy aliboii
Wenye roho za kutu wala siwakohoi
Nawajaze usiku yaani hawatuboii
Nishafunga na zipu kwengine sitoboii
Oooh jamani
naona raha ya mapenzii
nimempata katoto
Naona raha ya mapenzii
nimepata katotoo
Na ndio maana siku hizi
Sikeshi bar sababu ya katoto
Sikeshi bar sababu ya katoto
Ohh jamani Naenjoy penzi lake
Nimepata katoto
Naenjoy penzi lake
Nimepata katoto
Na ndio maana siku hizi
Sikeshi bar sababu ya katoto
Sikeshi bar sababu ya katoto
Wizyyy mppp
Kwangu katoto nakupenda mamy looh
Milele nitakulinda wasikuteke mabishoww
Nipende kweli data nami kichizi
Namimi nitakutunza japo kuwa sina kazi
Nilikusaka saka nimekupata pata
Tulia hapa tujenge familiaa
Bega kwa bega na wewe mama
Kesho tufunge ndoa tuje kuowana
Katoto
Wangu katoto
Ila ndio maana mimi kwako hoii
Nishajizima wifi
Yaani katoto umeniweza mama
Nanipe kidogo hatari
honey mambo ya hasalii
Mimi nachachawa kila napokuona
Katoto mamaaaa
Nandio maana kiukweli umenikosha roho
we katoto kiukweli umenikosha rohoo
Nandio maana kiukweli umenikosha roho
we katoto kiukweli umenikosha rohoo
Aroooohhh
Mzuka umepanda we dada anachuchumia
Kaliona danga ndio maana anajishaua
Mzuka umepanda we dada anachuchumia
Kaliona danga ndio maana anajishaua
Anachuchu uyo anachuchumia
Anajisha uyo anajishauwa
Nasini kweli anachuchu uyo anachuchumia
Anajisha uyo anajishauwa
No comments