KASSIM MGANGA FT AKILI THE BRAIN -JERAHA LYRICS
ona majeraha anayokupa yanaumiza nafsi yangu
ona huna raha anakutupa njo jibanze ndai mwangu.
tukutane dar nikuponze roho uonjee raha zangu
bwana hasira atajirudi akikuona uko kwangu
hohohoooo hohohoooo hohohohohohohooo
hohooo
unahitaji kutunzwa tena kudekezwa
si kuzururishwauwekwe ndani
wahitaji kutuzwa tena si kulizwa
sikizalilishwa bwana ganii
[(hali halali hajali si mali si kauli kuleni njaaa
×2)
(hohohooo hooohoooo uyo bwana simali
hohohoohohooo hoo uyo bwana akujalii×2)]
unapikishwa kisha hali uyo bwana wa nini
unakalishwa huna kauli wa kazi gani
si wakukupa manukato unukiee
mwili wako kutwa jasho unukiee
(hali halali hajali si mali si kauli kuleni njaaa
×2)
oh onaa udhohofu halii njoo kwangu urudishe mwili
(hohohooo hooohoooo uyo bwana simali
hohohoohohooo hoo uyo bwana akujalii×2)
ahaaa ahaaa haaaa haaaaaa
No comments