YA LAITI BI KIDUDE LYRICS HERE
bibi kidude bibi baraka
ya laiti napenda pasi kifaniii
tafautiii sikutilii moyoniiiii
sikuachii leo na kesho peponiii
aaaaa aaaaa aaaa aaaaaaaaaaaaa
by baraka chaplin
takadiriii siwezii kuiyepukaaa
takadiriii siwezii kuiyepukaaa
utasubiriii katu litonifikaaaaa
hasaa herii moyo utafurahikaaaa
ya laiti napenda pasi kifaniii
tafautiii sikutilii moyoniiiii
sikuachii leo na kesho peponiii
aaaaa aaaaa aaaa aaaaaaaaaaaaa
ya laiti napenda pasi kifaniii
tafautiii sikutilii moyoniiiii
sikuachii leo na kesho peponiii
aaaaa aaaaa aaaa aaaaaaaaaaaaa
mzabibuu hauitaji kuanguliwaaaa
mzabibuu hauitaki kuanguliwaaaa
janikavu hupuputika kwa juaaaa
mwenye kovu huchemka likapoaaaa
ya laiti napenda pasi kifaniii
tafautiii sikutilii moyoniiiii
sikuachii leo na kesho peponiii
aaaaa aaaaa aaaa aaaaaaaaaaaaa
by baraka chaplin
mwihindiakaa usimafanyie kelele
mwihindiakaa usimafanyie kelele
halidumu pendo pasi na upoleeee
ufahamu haraka si kwenda mbelee
ya laiti napenda pasi kifaniii
tafautiii sikutilii moyoniiiii
sikuachii leo na kesho peponiii
aaaaa aaaaa aaaa aaaaaaaaaaaaa
by baraka chaplin
waimanii mzurii wa matamkoo
waimanii mzurii wa matamkoo
walisema la mwenyewe lingalipo
laondoka likuaachie sikitikoo
ya laiti napenda pasi kifaniii
tafautiii sikutilii moyoniiiii
sikuachii leo na kesho peponiii
aaaaa aaaaa aaaa aaaaaaaaaaaaa
by baraka chaplin
wewe papa nakutuma kwa mkizii
wewe papa nakutuma kwa mkizii
namaneno kamwambie waziwazii
kunikoka wala kunipa haoshii
ya laiti napenda pasi kifaniii
tafautiii sikutilii moyoniiiii
sikuachii leo na kesho peponiii
aaaaa aaaaa aaaa aaaaaaaaaaaaa
ya laiti napenda pasi kifaniii
tafautiii sikutilii moyoniiiii
sikuachii leo na kesho peponiii
aaaaa aaaaa aaaa aaaaaaaaaaaaa
by baraka chaplin
www.barakachaplin.com
No comments