Cassim Mganga - Nafsi Nyonge lyrics
Cassim Mganga - Nafsi Nyonge lyrics
Haonyeshi Kujali🙁
Hanijui Kwa Halii
Hajulishii Afadhalii
Labda Apendezwi na HIlii,
Nami Pia Rijaliii
nitachoka Subirii
Mjulishe Na hili
Labda Atabdili Halii
Nimengoja nionjeshwe asalii.
Huku nikisubiri mchana jua kalii,
NImekuja Kulambishwa chaliii
ONAAA
Nimengoja nije Niitwe darlin
nikimsubiri tuje tujivinjari
Amekuja Kuulainisha Kauli
ONAAA
Huku nikisubiri mchana jua kalii,
NImekuja Kulambishwa chaliii
ONAAA
Nimengoja nije Niitwe darlin
nikimsubiri tuje tujivinjari
Amekuja Kuulainisha Kauli
ONAAA
Haonyeshi Kujali🙁
Hanijui Kwa Halii
Hajulishii Afadhalii
Labda Apendezwi na HIlii,
Nami Pia Rijaliii
nitachoka Subirii
Mjulishe Na hili
Labda Atabdili Halii
Hanijui Kwa Halii
Hajulishii Afadhalii
Labda Apendezwi na HIlii,
Nami Pia Rijaliii
nitachoka Subirii
Mjulishe Na hili
Labda Atabdili Halii
Nenda Nenda Umbembeleezeee
Anipendeee Nendaaaa
Umueleze Nafsi Nyonge
Nendaaa Umvembeleze Anipendeee
Nendaa Amuelezee Nafsi Nyonge
Anipendeee Nendaaaa
Umueleze Nafsi Nyonge
Nendaaa Umvembeleze Anipendeee
Nendaa Amuelezee Nafsi Nyonge
Wangapi walio piga Almasi teke
Wakijua Salarii
Wangapi Waliobaki Mioyoni Wapweke
Kwa kumkosa #Tajiri
Kwanini Kwenye Penzi Lako
ninapata DOharii
Kwanini Hutaki niwe Wako na Mimi
Hodarii
Wakijua Salarii
Wangapi Waliobaki Mioyoni Wapweke
Kwa kumkosa #Tajiri
Kwanini Kwenye Penzi Lako
ninapata DOharii
Kwanini Hutaki niwe Wako na Mimi
Hodarii
Mboona
Haonyeshi Kujali🙁
Hanijui Kwa Halii
Hajulishii Afadhalii
Labda Apendezwi na HIlii,
Nami Pia Rijaliii
nitachoka Subirii
Mjulishe Na hili
Labda Atabdili Halii
Nenda Nenda Umbembeleezeee
Anipendeee Nendaaaa
Umueleze Nafsi Nyonge
Nendaaa Umvembeleze Anipendeee
Nendaa Amuelezee Nafsi Nyonge
Anipendeee Nendaaaa
Umueleze Nafsi Nyonge
Nendaaa Umvembeleze Anipendeee
Nendaa Amuelezee Nafsi Nyonge
Mwambie Mimi Nampenda Nasimtamani
Mimi NI Yule ninae Jua Anaipi thamani
Mimi NI Yule ninae Jua Anaipi thamani
MWambie
Mimi nikipenda HUwa NAweka Ndani
Mimi SIo wale wa Kuokota Barabarani
Nenda
Nenda Nenda Umbembeleezeee
Anipendeee Nendaaaa
Umueleze Nafsi Nyonge
Nendaaa Umvembeleze Anipendeee
Nendaa Amuelezee Nafsi Nyonge
Mimi nikipenda HUwa NAweka Ndani
Mimi SIo wale wa Kuokota Barabarani
Nenda
Nenda Nenda Umbembeleezeee
Anipendeee Nendaaaa
Umueleze Nafsi Nyonge
Nendaaa Umvembeleze Anipendeee
Nendaa Amuelezee Nafsi Nyonge
Asante
ReplyDelete